From 531793535d0c9d44acc5df10496582101ad3793c Mon Sep 17 00:00:00 2001
From: Peter Jidamva <64710848+peterjidamva@users.noreply.github.com>
Date: Fri, 4 Oct 2024 19:21:22 +0300
Subject: [PATCH] =?UTF-8?q?=F0=9F=8C=90=20Added=20Swahili=20language=20tra?=
=?UTF-8?q?nslations=20(#20485)?=
MIME-Version: 1.0
Content-Type: text/plain; charset=UTF-8
Content-Transfer-Encoding: 8bit
no ref
Added Locale for Swahili Language🎊!
This pull request adds support for the Swahili language locale to our
project. As a fluent Swahili speaker (Swahili is my native language) and
i am from Tanzania, I have ensured that all translations are accurate
and culturally appropriate.
Changes
-Added sw locale files for Swahili
-Included translations for all the json files for comments.json ,
ghost.json , portal.json ,signup-form.json
Why
Swahili is a widely spoken language in East Africa, with over 80 million
native speakers and an estimated 200 million speakers in total. Adding
Swahili support will make our project more accessible to this large and
growing user base
---------
Co-authored-by: Steve Larson <9larsons@gmail.com>
---
ghost/i18n/lib/i18n.js | 3 +-
ghost/i18n/locales/sw/comments.json | 71 +++++++++
ghost/i18n/locales/sw/ghost.json | 34 ++++
ghost/i18n/locales/sw/portal.json | 208 +++++++++++++++++++++++++
ghost/i18n/locales/sw/search.json | 9 ++
ghost/i18n/locales/sw/signup-form.json | 9 ++
6 files changed, 333 insertions(+), 1 deletion(-)
create mode 100644 ghost/i18n/locales/sw/comments.json
create mode 100644 ghost/i18n/locales/sw/ghost.json
create mode 100644 ghost/i18n/locales/sw/portal.json
create mode 100644 ghost/i18n/locales/sw/search.json
create mode 100644 ghost/i18n/locales/sw/signup-form.json
diff --git a/ghost/i18n/lib/i18n.js b/ghost/i18n/lib/i18n.js
index fb459803f8..6006e2e363 100644
--- a/ghost/i18n/lib/i18n.js
+++ b/ghost/i18n/lib/i18n.js
@@ -54,7 +54,8 @@ const SUPPORTED_LOCALES = [
'uz', // Uzbek
'vi', // Vietnamese
'zh', // Chinese
- 'zh-Hant' // Traditional Chinese
+ 'zh-Hant', // Traditional Chinese
+ 'sw' // Swahili
];
/**
diff --git a/ghost/i18n/locales/sw/comments.json b/ghost/i18n/locales/sw/comments.json
new file mode 100644
index 0000000000..41112f5551
--- /dev/null
+++ b/ghost/i18n/locales/sw/comments.json
@@ -0,0 +1,71 @@
+{
+ "{{amount}} characters left": "{{amount}} herufi zimebaki",
+ "{{amount}} comments": "{{amount}} maoni",
+ "{{amount}} days ago": "siku {{amount}} zilizopita",
+ "{{amount}} hrs ago": "",
+ "{{amount}} mins ago": "",
+ "{{amount}} months ago": "miezi {{amount}} iliyopita",
+ "{{amount}} more": "{{amount}} zaidi",
+ "{{amount}} seconds ago": "sekunde {{amount}} zilizopita",
+ "{{amount}} weeks ago": "wiki {{amount}} zilizopita",
+ "{{amount}} years ago": "miaka {{amount}} iliyopita",
+ "1 comment": "maoni 1",
+ "Add comment": "Ongeza maoni",
+ "Add context to your comment, share your name and expertise to foster a healthy discussion.": "Ongeza muktadha kwa maoni yako, shiriki jina lako na utaalamu ili kuendeleza mjadala wenye afya.",
+ "Add reply": "Ongeza jibu",
+ "Already a member?": "Tayari ni mwanachama?",
+ "Anonymous": "Asiyetambulika",
+ "Become a member of {{publication}} to start commenting.": "Jiunge kama mwanachama wa {{publication}} ili kuanza kutoa maoni.",
+ "Become a paid member of {{publication}} to start commenting.": "Jiunge kama mwanachama anayelipa wa {{publication}} ili kuanza kutoa maoni.",
+ "Cancel": "Ghairi",
+ "Comment": "Maoni",
+ "Complete your profile": "Kamilisha wasifu wako",
+ "Delete": "Futa",
+ "Deleted member": "Mwanachama aliyefutwa",
+ "Discussion": "Majadiliano",
+ "Edit": "Hariri",
+ "Edit this comment": "Hariri maoni haya",
+ "edited": "",
+ "Enter your name": "Weka jina lako",
+ "Expertise": "Utaalamu",
+ "Founder @ Acme Inc": "Mwanzilishi @ Acme Inc",
+ "Full-time parent": "Mzazi wa muda wote",
+ "Head of Marketing at Acme, Inc": "Mkuu wa Masoko katika Acme, Inc",
+ "Hide": "Ficha",
+ "Hide comment": "Ficha maoni",
+ "Jamie Larson": "Jamie Larson",
+ "Join the discussion": "Jiunge na mjadala",
+ "Just now": "Hivi sasa",
+ "Local resident": "Mkazi wa eneo",
+ "Member discussion": "Mjadala wa wanachama",
+ "Name": "Jina",
+ "Neurosurgeon": "Daktari wa ubongo",
+ "One day ago": "Siku moja iliyopita",
+ "One hour ago": "Saa moja iliyopita",
+ "One min ago": "",
+ "One month ago": "Mwezi mmoja uliopita",
+ "One week ago": "Wiki moja iliyopita",
+ "One year ago": "Mwaka mmoja uliopita",
+ "Reply": "Jibu",
+ "Reply to comment": "Jibu maoni",
+ "Report": "Ripoti",
+ "Report comment": "Ripoti maoni",
+ "Report this comment?": "Unataka kuripoti maoni haya?",
+ "Save": "Hifadhi",
+ "Sending": "Inatuma",
+ "Sent": "Imetumwa",
+ "Show": "Onyesha",
+ "Show {{amount}} more replies": "Onyesha majibu {{amount}} zaidi",
+ "Show {{amount}} previous comments": "Onyesha maoni {{amount}} ya awali",
+ "Show 1 more reply": "Onyesha jibu 1 zaidi",
+ "Show 1 previous comment": "Onyesha maoni 1 ya awali",
+ "Show comment": "Onyesha maoni",
+ "Sign in": "Ingia",
+ "Sign up now": "Jisajili sasa",
+ "Start the conversation": "Anzisha mazungumzo",
+ "This comment has been hidden.": "Maoni haya yamefichwa.",
+ "This comment has been removed.": "Maoni haya yameondolewa.",
+ "Upgrade now": "Boresha sasa",
+ "Yesterday": "Jana",
+ "Your request will be sent to the owner of this site.": "Ombi lako litatumwa kwa mmiliki wa tovuti hii."
+}
diff --git a/ghost/i18n/locales/sw/ghost.json b/ghost/i18n/locales/sw/ghost.json
new file mode 100644
index 0000000000..b24aeb280b
--- /dev/null
+++ b/ghost/i18n/locales/sw/ghost.json
@@ -0,0 +1,34 @@
+{
+ "All the best!": "Kila la kheri!",
+ "Complete signup for {{siteTitle}}!": "Kamilisha usajili kwa {{siteTitle}}!",
+ "Complete your sign up to {{siteTitle}}!": "Kamilisha usajili wako kwa {{siteTitle}}!",
+ "Confirm email address": "Thibitisha anwani ya barua pepe",
+ "Confirm signup": "Thibitisha usajili",
+ "Confirm your email address": "Thibitisha anwani yako ya barua pepe",
+ "Confirm your email update for {{siteTitle}}!": "Thibitisha masasisho ya barua pepe yako kwa {{siteTitle}}!",
+ "Confirm your subscription to {{siteTitle}}": "Thibitisha usajili wako kwa {{siteTitle}}",
+ "For your security, the link will expire in 24 hours time.": "Kwa usalama wako, kiungo hiki kitaisha muda baada ya saa 24.",
+ "Hey there,": "Habari,",
+ "Hey there!": "Habari!",
+ "If you did not make this request, you can safely ignore this email.": "Ikiwa hukufanya ombi hili, unaweza kupuuza barua pepe hii kwa usalama.",
+ "If you did not make this request, you can simply delete this message.": "Ikiwa hukufanya ombi hili, unaweza kufuta ujumbe huu tu.",
+ "Please confirm your email address with this link:": "Tafadhali thibitisha anwani yako ya barua pepe na kiungo hiki:",
+ "Secure sign in link for {{siteTitle}}": "Kiungo salama cha kuingia kwa {{siteTitle}}",
+ "See you soon!": "Tutaonana hivi karibuni!",
+ "Sent to {{email}}": "Imetumwa kwa {{email}}",
+ "Sign in": "Ingia",
+ "Sign in to {{siteTitle}}": "Ingia kwa {{siteTitle}}",
+ "Tap the link below to complete the signup process for {{siteTitle}}, and be automatically signed in:": "Gusa kiungo kilicho chini kumaliza mchakato wa usajili kwa {{siteTitle}}, na utaingia kiotomati:",
+ "Thank you for signing up to {{siteTitle}}!": "Asante kwa kujisajili kwa {{siteTitle}}!",
+ "Thank you for subscribing to {{siteTitle}}!": "Asante kwa kujiunga na {{siteTitle}}!",
+ "Thank you for subscribing to {{siteTitle}}.": "Asante kwa kujiunga na {{siteTitle}}.",
+ "Thank you for subscribing to {{siteTitle}}. Tap the link below to be automatically signed in:": "Asante kwa kujiunga na {{siteTitle}}. Gusa kiungo kilicho chini kujiandikisha kiotomati:",
+ "This email address will not be used.": "Anwani hii ya barua pepe haitatumika.",
+ "Welcome back to {{siteTitle}}!": "Karibu tena kwa {{siteTitle}}!",
+ "Welcome back! Use this link to securely sign in to your {{siteTitle}} account:": "Karibu tena! Tumia kiungo hiki kuingia kwa usalama kwenye akaunti yako ya {{siteTitle}}:",
+ "You can also copy & paste this URL into your browser:": "Unaweza pia kunakili na kubandika URL hii kwenye kivinjari chako:",
+ "You will not be signed up, and no account will be created for you.": "Hutajiandikishwa, na hakuna akaunti itakayoundwa kwa ajili yako.",
+ "You will not be subscribed.": "Hutajiandikisha.",
+ "You're one tap away from subscribing to {{siteTitle}} — please confirm your email address with this link:": "Uko umbali wa mguso mmoja tu kujiunga na {{siteTitle}} — tafadhali thibitisha anwani yako ya barua pepe na kiungo hiki:",
+ "You're one tap away from subscribing to {{siteTitle}}!": "Uko umbali wa mguso mmoja tu kujiunga na {{siteTitle}}!"
+}
diff --git a/ghost/i18n/locales/sw/portal.json b/ghost/i18n/locales/sw/portal.json
new file mode 100644
index 0000000000..95aba456d3
--- /dev/null
+++ b/ghost/i18n/locales/sw/portal.json
@@ -0,0 +1,208 @@
+{
+ "(save {{highestYearlyDiscount}}%)": "(okoa {{highestYearlyDiscount}}%)",
+ "{{amount}} days free": "siku {{amount}} bila malipo",
+ "{{amount}} off": "punguzo la {{amount}}",
+ "{{amount}} off for first {{number}} months.": "punguzo la {{amount}} kwa miezi {{number}} ya kwanza.",
+ "{{amount}} off for first {{period}}.": "punguzo la {{amount}} kwa {{period}} ya kwanza.",
+ "{{amount}} off forever.": "punguzo la {{amount}} milele.",
+ "{{discount}}% discount": "punguzo la {{discount}}%",
+ "{{memberEmail}} will no longer receive {{newsletterName}} newsletter.": "{{memberEmail}} haitapokea jarida la {{newsletterName}} tena.",
+ "{{memberEmail}} will no longer receive emails when someone replies to your comments.": "{{memberEmail}} haitapokea barua pepe tena wakati mtu anapojibu maoni yako.",
+ "{{memberEmail}} will no longer receive this newsletter.": "{{memberEmail}} haitapokea jarida hili tena.",
+ "{{trialDays}} days free": "siku {{trialDays}} bila malipo",
+ "+1 (123) 456-7890": "",
+ "A login link has been sent to your inbox. If it doesn't arrive in 3 minutes, be sure to check your spam folder.": "Kiungo cha kuingia kimetumwa kwenye inbox yako. Kama hakifiki ndani ya dakika 3, hakikisha unakagua folda yako ya spam.",
+ "Account": "Akaunti",
+ "Account details updated successfully": "",
+ "Account settings": "Mipangilio ya akaunti",
+ "After a free trial ends, you will be charged the regular price for the tier you've chosen. You can always cancel before then.": "Baada ya kipindi cha majaribio bila malipo kukamilika, utatozwa bei ya kawaida kwa kiwango ulichochagua. Unaweza kughairi kabla ya hapo.",
+ "Already a member?": "Tayari ni mwanachama?",
+ "An error occurred": "",
+ "An unexpected error occured. Please try again or contact support if the error persists.": "Kumetokea hitilafu isiyotarajiwa. Tafadhali jaribu tena au wasiliana na usaidizi ikiwa hitilafu itaendelea.",
+ "Back": "Rudi",
+ "Back to Log in": "Rudi kuingia",
+ "Billing info": "Taarifa za malipo",
+ "Black Friday": "Ijumaa ya punguzo (Black Friday)",
+ "Cancel anytime.": "Ghairi wakati wowote.",
+ "Cancel subscription": "Ghairi usajili",
+ "Cancellation reason": "Sababu ya kughairi",
+ "Change": "Badilisha",
+ "Change plan": "",
+ "Check spam & promotions folders": "Kagua folda za spam & matangazo",
+ "Check with your mail provider": "Thibitisha na mtoa huduma wako wa barua",
+ "Check your inbox to verify email update": "",
+ "Choose": "Chagua",
+ "Choose a different plan": "Chagua mpango tofauti",
+ "Choose a plan": "",
+ "Choose your newsletters": "Chagua majarida yako",
+ "Click here to retry": "Bofya hapa kurudia",
+ "Close": "Funga",
+ "Comments": "Maoni",
+ "Complimentary": "Bure",
+ "Confirm": "Thibitisha",
+ "Confirm cancellation": "Thibitisha kughairi",
+ "Confirm subscription": "Thibitisha usajili",
+ "Contact support": "Wasiliana na wasaidizi",
+ "Continue": "Endelea",
+ "Continue subscription": "Endelea na usajili",
+ "Could not create stripe checkout session": "",
+ "Could not sign in. Login link expired.": "Haikuweza kuingia. Kiungo cha kuingia kimeisha muda.",
+ "Could not update email! Invalid link.": "Haikuweza kusasisha barua pepe! Kiungo batili.",
+ "Create a new contact": "Unda mawasiliano mapya",
+ "Current plan": "Mpango wa sasa",
+ "Delete account": "Futa akaunti",
+ "Didn't mean to do this? Manage your preferences .": "Hukumaanisha kufanya hivi? Dhibiti mapendeleo yako .",
+ "Don't have an account?": "Huna akaunti?",
+ "Edit": "Hariri",
+ "Email": "Barua pepe",
+ "Email newsletter": "Jarida la barua pepe",
+ "Email newsletter settings updated": "",
+ "Email preferences": "Mapendeleo ya barua pepe",
+ "Emails": "Barua pepe",
+ "Emails disabled": "Barua pepe zimezimwa",
+ "Ends {{offerEndDate}}": "Inaisha {{offerEndDate}}",
+ "Enter your email address": "",
+ "Enter your name": "",
+ "Error": "Hitilafu",
+ "Expires {{expiryDate}}": "Inaisha {{expiryDate}}",
+ "Failed to cancel subscription, please try again": "",
+ "Failed to log in, please try again": "",
+ "Failed to log out, please try again": "",
+ "Failed to process checkout, please try again": "",
+ "Failed to send magic link email": "",
+ "Failed to send verification email": "",
+ "Failed to sign up, please try again": "",
+ "Failed to update account data": "",
+ "Failed to update account details": "",
+ "Failed to update billing information, please try again": "",
+ "Failed to update newsletter settings": "",
+ "Failed to update subscription, please try again": "",
+ "Forever": "Milele",
+ "Free Trial – Ends {{trialEnd}}": "Jaribio la Bure – linaisha {{trialEnd}}",
+ "Get help": "Pata msaada",
+ "Get in touch for help": "Wasiliana kupata msaada",
+ "Get notified when someone replies to your comment": "Pata taarifa wakati mtu anapojibu maoni yako",
+ "Give feedback on this post": "Toa maoni kuhusu chapisho hili",
+ "Help! I'm not receiving emails": "Msaada! Sipokei barua pepe",
+ "Here are a few other sites you may enjoy.": "Hapa kuna tovuti chache nyingine unazoweza kufurahia.",
+ "If a newsletter is flagged as spam, emails are automatically disabled for that address to make sure you no longer receive any unwanted messages.": "Ikiwa jarida limewekwa alama kama spam, barua pepe zinazimwa kiotomatiki kwa anwani hiyo kuhakikisha haupokei ujumbe usiotakiwa tena.",
+ "If the spam complaint was accidental, or you would like to begin receiving emails again, you can resubscribe to emails by clicking the button on the previous screen.": "Ikiwa malalamiko ya spam yalikuwa ya bahati mbaya, au ungependa kuanza kupokea barua pepe tena, unaweza kujiandikisha tena kwa barua pepe kwa kubofya kitufe kwenye skrini iliyopita.",
+ "If you cancel your subscription now, you will continue to have access until {{periodEnd}}.": "Ikiwa utaghairi usajili wako sasa, utaendelea kupata huduma hadi {{periodEnd}}.",
+ "If you have a corporate or government email account, reach out to your IT department and ask them to allow emails to be received from {{senderEmail}}": "Ikiwa una akaunti ya barua pepe ya kampuni au serikali, wasiliana na idara yako ya IT na uwaombe waruhusu kupokea barua pepe kutoka {{senderEmail}}",
+ "If you would like to start receiving emails again, the best next steps are to check your email address on file for any issues and then click resubscribe on the previous screen.": "Ikiwa ungependa kuanza kupokea barua pepe tena, hatua bora zinazofuata ni kukagua anwani yako ya barua pepe kwa ajili ya matatizo yoyote kisha ubofye jiandikishe tena kwenye skrini iliyopita.",
+ "If you're not receiving the email newsletter you've subscribed to, here are a few things to check.": "Ikiwa hupokei jarida la barua pepe ulilojiandikisha nalo, hapa kuna mambo machache ya kukagua.",
+ "If you've completed all these checks and you're still not receiving emails, you can reach out to get support by contacting {{supportAddress}}.": "Ikiwa umekamilisha ukaguzi huu wote na bado hupokei barua pepe, unaweza kupata usaidizi kwa kuwasiliana na {{supportAddress}}.",
+ "In the event a permanent failure is received when attempting to send a newsletter, emails will be disabled on the account.": "Ikiwa itapokea hitilafu ya kudumu wakati wa kujaribu kutuma jarida, barua pepe zitazimwa kwenye akaunti.",
+ "In your email client add {{senderEmail}} to your contacts list. This signals to your mail provider that emails sent from this address should be trusted.": "Kwenye mteja wako wa barua pepe ongeza {{senderEmail}} kwenye orodha yako ya mawasiliano. Hii inaashiria kwa mtoa huduma wako wa barua kwamba barua pepe zilizotumwa kutoka anwani hii zinapaswa kuaminika.",
+ "Invalid email address": "",
+ "Jamie Larson": "",
+ "jamie@example.com": "",
+ "Less like this": "Punguza kama hii",
+ "Make sure emails aren't accidentally ending up in the Spam or Promotions folders of your inbox. If they are, click on \"Mark as not spam\" and/or \"Move to inbox\".": "Hakikisha barua pepe hazijakosekana kufikia folda za Spam au Matangazo ya kikasha chako. Ikiwa ziko, bonyeza \"Alama kama si spam\" na/au \"Hamisha kwenye kikasha\".",
+ "Manage": "Dhibiti",
+ "Maybe later": "Labda baadaye",
+ "Memberships unavailable, contact the owner for access.": "Uanachama haupatikani, wasiliana na mmiliki kupata ufikiaji.",
+ "month": "",
+ "Monthly": "Kila mwezi",
+ "More like this": "Zaidi kama hii",
+ "Name": "Jina",
+ "Need more help? Contact support": "Unahitaji msaada zaidi? Wasiliana na usaidizi",
+ "Newsletters can be disabled on your account for two reasons: A previous email was marked as spam, or attempting to send an email resulted in a permanent failure (bounce).": "Majarida yanaweza kuzimwa kwenye akaunti yako kwa sababu mbili: Barua pepe ya awali iliyowekwa alama kama spam, au jaribio la kutuma barua pepe lilisababisha hitilafu ya kudumu (bounce).",
+ "No member exists with this e-mail address.": "",
+ "No member exists with this e-mail address. Please sign up first.": "",
+ "Not receiving emails?": "Hupokei barua pepe?",
+ "Now check your email!": "Sasa angalia barua pepe yako!",
+ "Once resubscribed, if you still don't see emails in your inbox, check your spam folder. Some inbox providers keep a record of previous spam complaints and will continue to flag emails. If this happens, mark the latest newsletter as 'Not spam' to move it back to your primary inbox.": "Mara baada ya kujiandikisha tena, ikiwa bado huoni barua pepe kwenye kikasha chako, kagua folda yako ya spam. Watoa huduma wengine wa kikasha huweka rekodi ya malalamiko ya awali ya spam na wataendelea kuweka alama kwenye barua pepe. Ikiwa hili litatokea, weka alama kwenye jarida la hivi karibuni kama 'Si spam' ili kuirudisha kwenye kikasha chako kikuu.",
+ "Permanent failure (bounce)": "Hitilafu ya kudumu (bounce)",
+ "Phone number": "",
+ "Plan": "Mpango",
+ "Plan checkout was cancelled.": "Malipo ya mpango yalighairiwa.",
+ "Plan upgrade was cancelled.": "Uboreshaji wa mpango ulighairiwa.",
+ "Please contact {{supportAddress}} to adjust your complimentary subscription.": "Tafadhali wasiliana na {{supportAddress}} kurekebisha usajili wako wa bure.",
+ "Please enter {{fieldName}}": "",
+ "Please fill in required fields": "Tafadhali jaza sehemu zinazohitajika",
+ "Price": "Bei",
+ "Re-enable emails": "Washa tena barua pepe",
+ "Recommendations": "Mapendekezo",
+ "Renews at {{price}}.": "Inajirudia kwa bei ya {{price}}.",
+ "Retry": "Jaribu tena",
+ "Save": "Hifadhi",
+ "Send an email and say hi!": "Tuma barua pepe na sema hi!",
+ "Send an email to {{senderEmail}} and say hello. This can also help signal to your mail provider that emails to and from this address should be trusted.": "Tuma barua pepe kwa {{senderEmail}} na sema hello. Hii pia inaweza kusaidia kuashiria kwa mtoa huduma wako wa barua kwamba barua pepe zinazotoka na kuingia kwenye anwani hii zinapaswa kuaminika.",
+ "Sending login link...": "Inatuma kiungo cha kuingia...",
+ "Sending...": "Inatuma...",
+ "Show all": "Onyesha yote",
+ "Sign in": "Ingia",
+ "Sign out": "Toka",
+ "Sign up": "Jisajili",
+ "Signup error: Invalid link": "Kosa la usajili: Kiungo batili",
+ "Something went wrong, please try again later.": "",
+ "Sorry, that didn’t work.": "Samahani, hiyo haikufanya kazi.",
+ "Spam complaints": "Malalamiko ya Spam",
+ "Start {{amount}}-day free trial": "Anza majaribio ya siku {{amount}} bila malipo",
+ "Starting {{startDate}}": "Inaanza {{startDate}}",
+ "Starting today": "Inaanza leo",
+ "Submit feedback": "Tuma maoni",
+ "Subscribe": "Jiunge",
+ "Subscribed": "Umejiunga",
+ "Subscription plan updated successfully": "",
+ "Success": "Mafanikio",
+ "Success! Check your email for magic link to sign-in.": "Mafanikio! Angalia barua pepe yako kwa kiungo cha kuingia.",
+ "Success! Your account is fully activated, you now have access to all content.": "Mafanikio! Akaunti yako imeamilishwa kikamilifu, sasa una ufikiaji wa maudhui yote.",
+ "Success! Your email is updated.": "Mafanikio! Barua pepe yako imesasishwa.",
+ "Successfully unsubscribed": "Umejiondoa kwa mafanikio",
+ "Thank you for subscribing. Before you start reading, below are a few other sites you may enjoy.": "Asante kwa kujiunga. Kabla hujanza kusoma, hapa chini ni tovuti chache nyingine unazoweza kufurahia.",
+ "Thank you for your support": "",
+ "Thank you for your support!": "",
+ "Thanks for the feedback!": "Asante kwa maoni!",
+ "That didn't go to plan": "Hiyo haikwenda kama ilivyopangwa",
+ "The email address we have for you is {{memberEmail}} — if that's not correct, you can update it in your .": "Anwani ya barua pepe tuliyonayo kwako ni {{memberEmail}} — ikiwa hiyo si sahihi, unaweza kuisasisha kwenye yako.",
+ "There was a problem submitting your feedback. Please try again a little later.": "Kulikuwa na tatizo la kutuma maoni yako. Tafadhali jaribu tena baadaye kidogo.",
+ "There was an error cancelling your subscription, please try again.": "",
+ "There was an error continuing your subscription, please try again.": "",
+ "There was an error processing your payment. Please try again.": "",
+ "There was an error sending the email, please try again": "",
+ "This site is invite-only, contact the owner for access.": "Tovuti hii ni ya mialiko pekee, wasiliana na mmiliki kupata ufikiaji.",
+ "This site is not accepting payments at the moment.": "",
+ "To complete signup, click the confirmation link in your inbox. If it doesn't arrive within 3 minutes, check your spam folder!": "Kukamilisha usajili, bonyeza kiungo cha uthibitisho kwenye kikasha chako. Kama hakifiki ndani ya dakika 3, kagua folda yako ya spam!",
+ "To continue to stay up to date, subscribe to {{publication}} below.": "",
+ "Too many attempts try again in {{number}} days.": "",
+ "Too many attempts try again in {{number}} hours.": "",
+ "Too many attempts try again in {{number}} minutes.": "",
+ "Too many different sign-in attempts, try again in {{number}} days": "",
+ "Too many different sign-in attempts, try again in {{number}} hours": "",
+ "Too many different sign-in attempts, try again in {{number}} minutes": "",
+ "Try free for {{amount}} days, then {{originalPrice}}.": "Jaribu bila malipo kwa siku {{amount}}, kisha {{originalPrice}}.",
+ "Unable to initiate checkout session": "",
+ "Unlock access to all newsletters by becoming a paid subscriber.": "Fungua ufikiaji wa majarida yote kwa kuwa mwanachama anayelipa.",
+ "Unsubscribe from all emails": "Jiondoe kwenye barua pepe zote",
+ "Unsubscribed": "Umejiondoa",
+ "Unsubscribed from all emails.": "Umejiondoa kwenye barua pepe zote.",
+ "Unsubscribing from emails will not cancel your paid subscription to {{title}}": "Kujiondoa kutoka barua pepe hakuwezi kughairi usajili wako uliolipwa wa {{title}}",
+ "Update": "Sasisha",
+ "Update your preferences": "Sasisha mapendeleo yako",
+ "Verification link sent, check your inbox": "Kiungo cha uthibitisho kimetumwa, angalia kikasha chako",
+ "Verify your email address is correct": "Hakikisha anwani yako ya barua pepe ni sahihi",
+ "View plans": "Tazama mipango",
+ "We couldn't unsubscribe you as the email address was not found. Please contact the site owner.": "Hatukuweza kukuondoa kwenye usajili kwa sababu anwani ya barua pepe haikupatikana. Tafadhali wasiliana na mmiliki wa tovuti.",
+ "Welcome back, {{name}}!": "Karibu tena, {{name}}!",
+ "Welcome back!": "Karibu tena!",
+ "Welcome to {{siteTitle}}": "Karibu kwa {{siteTitle}}",
+ "When an inbox fails to accept an email it is commonly called a bounce. In many cases, this can be temporary. However, in some cases, a bounced email can be returned as a permanent failure when an email address is invalid or non-existent.": "Wakati kikasha kinaposhindwa kupokea barua pepe kwa kawaida huitwa bounce. Mara nyingi, hii inaweza kuwa ya muda. Hata hivyo, katika baadhi ya matukio, barua pepe iliyorudishwa inaweza kuonekana kama hitilafu ya kudumu wakati anwani ya barua pepe ni batili au haipo.",
+ "Why has my email been disabled?": "Kwa nini barua pepe yangu imezimwa?",
+ "year": "",
+ "Yearly": "Kila mwaka",
+ "You currently have a free membership, upgrade to a paid subscription for full access.": "Kwa sasa una uanachama bila malipo, boresha kuwa usajili uliolipwa kwa ufikiaji kamili.",
+ "You have been successfully resubscribed": "Umejiandikisha tena kwa mafanikio",
+ "You're currently not receiving emails": "Kwa sasa hupokei barua pepe",
+ "You're not receiving emails": "Hupokei barua pepe",
+ "You're not receiving emails because you either marked a recent message as spam, or because messages could not be delivered to your provided email address.": "Hupokei barua pepe kwa sababu umeashiria ujumbe wa hivi karibuni kama spam, au kwa sababu ujumbe haukuweza kuwasilishwa kwenye anwani yako ya barua pepe iliyotolewa.",
+ "You've successfully signed in.": "Umeingia kwa mafanikio.",
+ "You've successfully subscribed to": "Umejiunga kwa mafanikio na",
+ "Your account": "Akaunti yako",
+ "Your email has failed to resubscribe, please try again": "",
+ "Your input helps shape what gets published.": "Maoni yako yanasaidia kuunda yaliyochapishwa.",
+ "Your subscription will expire on {{expiryDate}}": "Usajili wako utaisha tarehe {{expiryDate}}",
+ "Your subscription will renew on {{renewalDate}}": "Usajili wako utaongezwa tarehe {{renewalDate}}",
+ "Your subscription will start on {{subscriptionStart}}": "Usajili wako utaanza tarehe {{subscriptionStart}}"
+}
diff --git a/ghost/i18n/locales/sw/search.json b/ghost/i18n/locales/sw/search.json
new file mode 100644
index 0000000000..8902015528
--- /dev/null
+++ b/ghost/i18n/locales/sw/search.json
@@ -0,0 +1,9 @@
+{
+ "Authors": "",
+ "Cancel": "",
+ "No matches found": "",
+ "Posts": "",
+ "Search posts, tags and authors": "",
+ "Show more results": "",
+ "Tags": ""
+}
diff --git a/ghost/i18n/locales/sw/signup-form.json b/ghost/i18n/locales/sw/signup-form.json
new file mode 100644
index 0000000000..6525ad3582
--- /dev/null
+++ b/ghost/i18n/locales/sw/signup-form.json
@@ -0,0 +1,9 @@
+{
+ "Email sent": "Barua pepe imetumwa",
+ "Now check your email!": "Sasa angalia barua pepe yako!",
+ "Please enter a valid email address": "Tafadhali weka anwani sahihi ya barua pepe",
+ "Something went wrong, please try again.": "Kumetokea hitilafu, tafadhali jaribu tena.",
+ "Subscribe": "Jiunge",
+ "To complete signup, click the confirmation link in your inbox. If it doesn't arrive within 3 minutes, check your spam folder!": "Kukamilisha usajili, bonyeza kiungo cha uthibitisho kwenye inbox yako. Kama hakifiki ndani ya dakika 3, kagua folda yako ya spam!",
+ "Your email address": "Anwani yako ya barua pepe"
+}